ZA UKWELI SANA

MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO WACHA KULALAMIKA

Ndugu yangu yakupasa umshukuru mungu kwa kila jambo na uache kulalamika,wenzako hawana viungo vyote lakini wanajituma kama unavyowaona pichani hapo,wewe uliyemzima unalialia na kukufuru jitume na ujifunze kumshukuru mungu ndiposa utafanikiwa kuna malipo kwenye kumshukuru mungu,wewe kila siku unamuomba mungu je kwa hayo machache aliyokupatia umeshamshukuru japo kwa machache??zinduka mungu wa watu weupe ndio mungu wa watu weusi,mungu wa manyani ndio mungu wa kwetu sisi.
     nakutakia jumapili njema na yenye baraka.

0 Response to "MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO WACHA KULALAMIKA"

Chapisha Maoni