ZA UKWELI SANA

MKWASA SASA RASMI STARS

Kocha charles boniface mkwasa jana amesainiwa rasmi na tff kukinoa kikosi cha taifa stars,mkwasa amepewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu,mshahara mnono pamoja na marupurupu,mkwasa kabla ya hapo alikuwa akikinoa kikosi cha Yanga.

0 Response to "MKWASA SASA RASMI STARS"

Chapisha Maoni