ZA UKWELI SANA

MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI KATIKA AJALI

Mwanasiasa mkongwe nchini ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha DP mchungaji christopher Mtikila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha msolwa,huko mkoani pwani endelea kufuatilia mtandao huu tutakujuza zaidi chanzo cha ajali hiyo

0 Response to "MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI KATIKA AJALI"

Chapisha Maoni