ZA UKWELI SANA

LULU ASEMA MABADILIKO KWANZA MAMBO MENGINE BAADAE

Msanii wa filamu bongo elizabeth michael,amesema yeye yupo ukawa na anasapoti ukawa mwanzo mwisho kwake mabadiliko kwanza,mambo mengine baadae amesema wasanii wenzake walionunuliwa na chama cha ccm waache wanunuliwe yeye anataka mabadiliko kwanza.

0 Response to "LULU ASEMA MABADILIKO KWANZA MAMBO MENGINE BAADAE"

Chapisha Maoni