ZA UKWELI SANA

WATANZANIA WAKATI KAMA HUU TUWE MAKINI SANA NA VIONGOZI WA NAMNA HII

MHESHIMIWA AKIWAOMBA WATOTO
Kiongozi mzuri hupimwa kwa kazi zake alizofanya sio maneno ya longolongo,viongozi kama hawa pichani ni wa kuwa nao makini sana,kipindi chote hawi karibu na wananchi mpaka kipindi cha uchaguzi,ona hapo pichani miaka yote watoto wanasoma chini yeye anakula bata pesa ya posho leo anajidai anawapenda sana,tusigeuzwe kichwa cha mwenda wazimu wabongo mara hii uchaguzi huu tufanye kweli.

0 Response to "WATANZANIA WAKATI KAMA HUU TUWE MAKINI SANA NA VIONGOZI WA NAMNA HII"

Chapisha Maoni