ZA UKWELI SANA

HUYU NDIYE MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ

Kama ulikuwa hujawahi kumuona huyo ndiye mtoto wa kike na wa kwanza wa diamond platnumz aliyezaa na mpenzi wake mwanamama zarina hassani,ameamua kumwanika wazi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufikisha siku 40,anaitwa latifa nasibu,amepewa udhamini wa mavazi kwa muda wa mwaka mmoja,na super market ya pugu mall,wenye thamani ya milioni 50 mara alipozaliwa tu,na sasa pia amepata dili la kuitangaza nmb junior jumbo acount.

0 Response to "HUYU NDIYE MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ"

Chapisha Maoni