ZA UKWELI SANA

WAHDA WA MR BLUE AMSIFIA MUMEWE

Mke wa msanii  wa miondoko ya hiphop hapa nchini anayefahamika kwa jina la wahda ameonyesha mapenzi yake kwa mumewe baada ya kuandika ni jinsi gani anavyompenda mumewe huyo wahda aliandika kupitia mtandao wake  wa instagram  ''haijalishi ni kwa kiasi gani nimekusumbua kwenye shida na raha na kwenye shida umekuwa ukinipenda zaidi hata nilipokuwa mjamzito nilipokuwamsha usiku ukaniletee sekela bado ulinipenda tu nakupenda sana baba watoto wangu '' aliandika wahda kupitia instagram,mr blue pia miezi kadhaa nyuma aliandika kupitia mtandao wake wa instagram akimshukuru mkewe kwa kumfanya aachane na aina zote za vile alivyokuwa anatumia hali inayoonyesha kuwepo kwa upendo kwa wawili hawa.

0 Response to "WAHDA WA MR BLUE AMSIFIA MUMEWE"

Chapisha Maoni