ZA UKWELI SANA

PETER MSECHU ASEMA UKIBONGE SASA BASI

PETER MSECHU
Msanii wa muziki nchini maarufu kama peter msechu ameeleza dhamira yake ya kupunguza,mwili peter amesema sasa umefika muda sahihi wa yeye kupungua ''unajua lazima ifike mahali uweze kujicommit,nilikuwa bize sana na shughuli za mziki sio kama mimi napenda kuwa kibonge au sipendi kupungua,ila sasa ndio nimepata muda,mimi nafanya mazoezi sana ndio maana naweza kupanda jukwaani masaa nane bila kushuka licha ya kuwa bonge'' alisema msechu alipokuwa akihojiwa na kipindi cha story tatu planet bongo ya east africa radio

0 Response to "PETER MSECHU ASEMA UKIBONGE SASA BASI"

Chapisha Maoni