ZA UKWELI SANA

JOH MAKINI NA DAVIDO BADO HAWAJAAMUA NANI ATAMILIKI WIMBO

Joh makini msanii wa hiphop bongo,amesema bado hawajazungumza na davido ili kuwekana sawa ni nani atakayekuwa mmiliki halali wa collabo yao wanayotarajia kuifanya hivi karibuni ''bado hatujaamua kwamba nani ataumiliki wimbo,au utamililikiwa na wote tutakapowekana sawa na davido nitawaambia watanzania'' alisema joh makini kwenye kipindi cha xxl ya clouds fm.

0 Response to "JOH MAKINI NA DAVIDO BADO HAWAJAAMUA NANI ATAMILIKI WIMBO"

Chapisha Maoni