ZA UKWELI SANA

MITANDAO YA KIJAMII NA SIMU ZAVUNJA MAHUSIANO YA WENGI

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu huko newyork nchini marekani unaonyesha teknolojia ya mawasiliano hasa mitando ya kijaamii na simu inavyoharibu mahusiano ya wanandoa na wapenzi,amesema baadhi ya wanandoa hufikia hata hatua ya kutumiana ujumbe wakiwa pamoja kitandani,na hivyo kupunguza sana ukaribu wa kuzungumza wawili hao,na wengine huwa bize sana na kuchat katika mitandao hiyo badala kuzungumzia mapenzi yao na maisha kwa ujumla
mmoja wa wataalamu hao anasema,kuna wakati hata yeye aliathirika na mitandao hiyo na kutishia mahusiano yake,mpaka sasa alipoamua kujitoa rasmi katika mtandao wa facebook aliyokuwa amejiunga nao.
 


  amesema wapenzi wanatakiwa kuwa makini sana na mitandao hiyo,wani mahusiano mengi sana yameingia katika mitafaruku mikubwa sana





     usisite kututumia maoni yako.
piga simu 0656538476

0 Response to "MITANDAO YA KIJAMII NA SIMU ZAVUNJA MAHUSIANO YA WENGI"

Chapisha Maoni