ZA UKWELI SANA

MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA 10

Blogu kongwe zaidi hapa nchini ya michuzi blogu,inayomilikiwa na ndugu issa michuzi sasa imetimiza miaka kumi tangu kuanzishwa kwake,akizungumza kwa furaha issa michuzi anasema anamshukuru  Mungu kwa blogu hiyo tangu kuanzishwa kwake,na anategemea miaka kumi ijayo kufanya sherehe zaidi ya aliyofanya leo ofisini kwake akiwa na wafanyakazi wake wa blogu hiyo,blogu ya issa michuzi imekuwa ni mfano wa kuigwa kwa blogu nyingine haswa kwa kuzingatia maadili ya kitanzania,na blogu hiyo imetoa ajira kwa baadhi ya vijana wa kitanzania,michuzi aliiadhimisha miaka kumi hiyo kwa kufanya sherehe fupi ofisini kwake,hongera sana michuzi blog.

0 Response to "MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA 10"

Chapisha Maoni