ZA UKWELI SANA

MADEE AMZAWADIA GARI DOGO JANJA

Msanii kutoka arusha anayesimamiwa kazi zake na madee ally,amezawadiwa zawadi yake jana kwenye siku yake ya kuzaliwa na boss wake madee anayemchukulia kama baba yake,katika sherehe yake ya kuzaliwa ambapo dogo janja alitimiza miaka 21,zawadi hiyo alikabidhiwa na rafiki wa karibu wa madee aitwaye dicksound1 mtaalamu wa kufunga miziki kwenye magari,dogo alionyesha furaha yake kwa kupokea zawadi hiyo na kumshukuru madee kupitia mtandao wa instagram,na kusema sasa tabu yake ya usafirri itakuwa imekwisha.

0 Response to "MADEE AMZAWADIA GARI DOGO JANJA"

Chapisha Maoni