ZA UKWELI SANA

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

 Kuelekea uchaguzi huu mkuu wa mwaka 2015,jicho la Kitaa  blog na jicho la kitaa media tutakuwa pamoja nanyi wapenzi na wasomaji wetu wa blogu hii pendwa kuwaletea mada moto,na kila linalojiri hivi sasa kuhusu vyama,wanasiasa,sera na kampeni zao bila kupendelea upande wowote ule,kwa maslahi ya taifa letu kwa ujumla tuwashauri wasomaji wetu kuwasikiliza wagombea wa vyama vyote ili kujua sera zipi zinafaa kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu,na tuwaache ushabiki wa vyama siasa sio ushabiki wa simba na yanga watanzania taifa letu kwanza mambo mengine baadae,tunajifunza kwa yaliyotokea kwa jirani zetu kenya na sasa hivi burundi.
   
       Ndugu zanguni amani ni kitu muhimu sana na tuilinde,DJ Fetty kutoka clouds fm anasema ni zamu yako kijana kufanya maamuzi na wanasiasa waache kufikiri maadui zao wa kisiasa kwamba na sisi ni maadui zetu waache porojo watuambie wataifanyia nini MAMA TANZANIA.
Na mhariri wetu JICHO LA KITAA MEDIA.

0 Response to "KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 "

Chapisha Maoni