ZA UKWELI SANA

HUU NDIO UMUHIMU WA VITUNGUU SWAUMU

assalam aleikum,waungwana
                              habari za alhamisi hii ya leo wapendwa wangu,wengi najua kwa siku ya leo mtakuwa majumbani kwa sababu ya mapumziko ya sikukuu hii ya Eidelhadji,leo napenda kuwadodosea kidogo umuhimu wa kiungo hiki marufu kwenye chakula na mboga,haswa kwa wakazi wa maeneo ya pwani na  wengineo,nimependa kuitumia siku hii ya leo,kwa sababu maeneo mengi hapa bongo siku kama ya leo ndio kinatumika sana,japo yapo maeneo mengine kama pwani hutumia kiungo hiki kila siku,kitunguu saumu au swaumu kwa kizungu ''garlic'' mbali na kutumika kama kiungo chenye kuleta ladha na harufu nzuri kwenye chakula pia  ni dawa inayotibu maradhi mengi sana kama pumu,mafua,presha,na pia huratibu mpangilio wa hedhi kwa akina mama.



  
      MATUMIZI YA VITUNGUU SWAUMU NA MAGONJWA YAKE;


KWA UGONJWA WA PRESHA;meza tumba moja mara tatu kila siku yaani asubuhi mchana na jioni kwa muda wa miezi mitatu utaipoteza na kuitokomeza kabisa presha yako hii ni kwa wale wenye presha ya kushuka haswaa.
KWA UGONJWA WA PUMU,Tengeneza juice ya vitunguu swaumu kama unavyotengeneza juice ya maembe kwa brenda yako nyumbani kunywa glass moja kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu ugonjwa wa pumu utabaki historia kwako.
KWA UGONJWA WA MAFUA SUGU AU ALEJ,tafuna tumba moja au mbili kila siku asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja tu.
HEDHI ISIYOKUWA NA MPANGILIO AU MAUMIVU MAKALI,tumia juice ya vitunguu swaumu ka muda wa mwezi mmoja hadi mitatu kutegemea na hali ya mtu mwenyewe.


     EID MUBARAK
             PIGA 0656538476 KWA MATUMIZI YA OFISI TU.

0 Response to "HUU NDIO UMUHIMU WA VITUNGUU SWAUMU"

Chapisha Maoni