ZA UKWELI SANA

HABARI MTANDAONI

 MUIGIZAJI WA DESMOND ELLIOT WA NIGERIA ASEMA ANAPUMZIKA KUFANYA FILAMU,KUTOKANA NA MAJUKUMU YA UBUNGE.


   











   muigizaji maarufu wa NOLLWOOD ambaye sasa ni mbunge,Desmond Elliot amesema kuwa kwa sasa amepumzika kufanya filamu ili ajikite vema kwenye siasa.amesema kuwa halitakuwa jambo la busara kuchanganya mambo ya uigizaji na maisha yake mapya ya siasa,
kazi ya ubunge sio rahisi,nitaonekana sio mwajibikaji kama nitaendelea kuigiza huku nina majukumu mengi ya ubunge,Desmond aliuambia mtandao wa majoy online,Desmond alijitosa kwenye siasa mwaka 2014,na kugombea ubunge *lagos state of assembly*kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,ambapo alishinda kupitia chama chake cha APC.

0 Response to "HABARI MTANDAONI"

Chapisha Maoni