ZA UKWELI SANA

ANGALIA UBUNIFU HUU,WA TAKATAKA ZA DAR,ZINAVYOGEUZWA KUWA BIDHAA.

wakazi wa jiji la DAREessalaam,wamepewa changamoto ya kutumia ya kutumia takataka mbalimbali zilizopo mtaani kiubunifu ili kuweza kutengeneza bidhaa zenye thamani na ubora kibiashara jambo ambalo litawainua kiuchumi na kusaidia jitihada za usafi wa Mazingira.Sarah scott,afisa Mtendaji wa taasisi ya Archipelago productions,waandaaji wa zoezi la kufanya wa ufukwe wa Msasani Bonde la mpunga ambako hufanyika kila jumamosi na jumapili kila mwezi amesema wakati wa tukio hilo mwishoni mwa wiki kwamba takataka mbalimbali zilizopo mtaani zinaweza kugeuzwa kuwa bidhaa na kuwasaidia wananchi kujipatia kipato huku jambo hilo likisaidia kuweka mazingira yao safi,lakini amesema si kila takataka inaweza kuwa bidhaa,japo taka nyingi ni bidhaa,tukio hilo limeandaliwa na taasisi ya Archipelago,limedhaminiwa na cocola,Anza magawe Regent Tanzania,knight support,The Recycler,impact Promotions,Hugo Domingo na Techno Brain.

0 Response to "ANGALIA UBUNIFU HUU,WA TAKATAKA ZA DAR,ZINAVYOGEUZWA KUWA BIDHAA."

Chapisha Maoni