ZA UKWELI SANA

MAWAZO YANGU NA SHIGONGO.

Usisikilize sana mawazo ya watu,usisikilize sana akili yako,bali usikilize moyo kila unapowaza,kwani akili zetu zimejazwa hofu na kuna wakati haziaminiki zimewafanya wengi kubaki masikini,wakati walitakiwa kuwa matajiri,chukua hatua leo ya kufanyia kazi wazo lako unalo liwaza,hata ukishindwa,ni sawa walishashindwa watu wengi mno kabla yako.

0 Response to "MAWAZO YANGU NA SHIGONGO."

Chapisha Maoni