ZA UKWELI SANA

TUKIO LILILOFANYA MADONNA AWE KWENYE HEADLINES ZAIDI USIKU WA TUZO ZA BRITS 2O15.

Tuzo za Brit awards 2015 zimefanyika jana usiku kwenye ukumbi wa 02 Arena,London huku mastaa kama akina,Taylor sniff,Kanye West,na Madonna.

Tukio la kuanguka kwa mwanamuziki mkongwe madonna limezungumziwa zaidi,hii imetokea bahati mbaya wakati mwanamama huyo,akifanya show na dancers wake kwenye stage.
kuanguka hakukuathiri kitu kwenye show ya mama huyo,aliinuka na kuendelea kufanya show ,
yake,baadaye staa huyo mwenye umri wa miaka 56 aliandika ujumbe wa mashabiki wake instagram kuwa yupo poa,na ajali aliyoipata kwenye stage ilikuwa bahati mbaya.
unaweza kushare hii story facebook na twitter pia mtu wangu wa nguvu.

0 Response to "TUKIO LILILOFANYA MADONNA AWE KWENYE HEADLINES ZAIDI USIKU WA TUZO ZA BRITS 2O15."

Chapisha Maoni