ZA UKWELI SANA

JINI KABULA AMTAKA CHUZI AOE.

Mwiguzaji  aliyekwenda  hewani bongo,Mariam jolwa jini a.k.a jini kabula amemtaka mzazi mwenziwe,Tuesday Kihangala MR chuzi aoe ili kulinda heshima yake.
akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya kamera ya mwanahabari wetu,kabula alisema anajivunia kuzaa na chuz lakini kwa kuwa yeye hakupanga kuolewa na prodyuza  huyo mkongwe ni bora aoe kwani umri unamtupa mkono.

chuzi aoe tu sasa umri umeenda,tena akioa nitacheza muziki,nitacheza balaa siku hiyo,si unajua mambo yangu,mbaya zaidi sina wivu nae;alisema jini kabula.

mr chuzi hayupo pichani. 
                 chazo GPL.

0 Response to "JINI KABULA AMTAKA CHUZI AOE."

Chapisha Maoni