ZA UKWELI SANA

SHAMSA FORD AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA WABOGOJO.


msanii wa filamu nchini,shamsa ford ambaye hivi karibuni amejipatia umaarufu kwenye filamu ya chausikui iliyotengenezwa chini ya kampuni ya jerusalem film company ya jb,leo asubuhi amefunguka kwenye akaunti yake ya instagram juu ya uhusiano uliopo kati yake na wabogojo yule jamaa aliyekuwa mcheza shoo wa mrnice aliyejipatia umaarufu kwa kuchezesha viungo vyake vya mwili kwa jinsi alivyopenda.
wabogojo,kaka wa damu wa shamsaford.

0 Response to "SHAMSA FORD AFUNGUKA KUHUSU YEYE NA WABOGOJO."

Chapisha Maoni