ZA UKWELI SANA

lULU APANDA BEI BONGO MUVI.

  • Muigizaji Eizabeth michael a.k.lulu amepanda bei kwenye tasnia hiyo baada ya kutangaza kwamba sasa hivi ukimuhitaji kucheza kwenye muvi yako bei ya chini kabisa ni shilingi milioni 15,lulu ambaye  sasa hivi yupo chini ya kampuni ya muvi ya proin promotions,amebainisha hayo baada ya kuandika kwenye mtandao wa instagram na amesema hicho ndio kiwango alichoamua kulipwa akiwa nje ya kampuni yake ya proin promotions.kwa mujibu wa mtangazaji wa kipindi cha take one cha cloudstv amesema kuna uwezekano mkubwa lulu akawa ndio mwigizaji anayelipwa pesa nyingi bongo kuacha ma producer,ambapo kwa kawaida kibongo kibongo,mhusika mkuu hulipwa kuanzia laki nane hadi milioni 5,kutegemeana na hadhi aliyokuwa nayo msanii katika game. ni haki yako kupata stori mtu wangu wa nguvu unaweza kushea stori hii facebook na twitter na wengine wanufaike.

0 Response to "lULU APANDA BEI BONGO MUVI."

Chapisha Maoni