ZA UKWELI SANA

SHAA ASEMA ATAENDELEA KUSUGUA GAGA

Mwanamuziki sara kaisi a.k.a shaa amesema ataendelea na miondoko ya wimbo wake wa sugua gaga,aliutoa mwaka jana na kumpatia mafanikio makubwa sana unajua sijategemea kama sugua gaga ni wimbo utakaonitambulisha mpaka nje ya Tanzania,ni wimbo ambao umependwa sana kenya na uganda na mwaka jana uliongoza kwa kuangaliwa youtube kwani ulipata heats milioni 15,nilikwenda uganda nikaonana na chameleon na maurice kiria na wamesema niendelee na staili ile kwani inabamba sana,mimi nilijua wanapenda ile miondoko ya kizungu kumbe hata hii ya kiswazi pia na mwaka huu nimejipanga kufanya kama mwaka jana alisema shaa.

0 Response to "SHAA ASEMA ATAENDELEA KUSUGUA GAGA"

Chapisha Maoni