ZA UKWELI SANA

POLISI NCHINI KENYA WATUMIA MABOMU YAMACHOZI KUWATAWANYA WANAFUNZI




kuwatawanya wanafunzi wa shule ya msingi lang;ata nchini humo baada ya kuandamana na kuvunja ukuta uliopo shuleni hapo kwa madai ya kwamba uwanja wao wa michezo umechukuliwa na mabwanyenye a.k.a mafisadi ndipo wakaandamana na kuvunja ukuta uliokuwa umejengwa kama uzio shuleni hapo,vurugu hizo zimefanyika leo baada ya likizo fupi iliyokuwepo baada ya walimu waokugoma wakidai maslahi yao,

0 Response to "POLISI NCHINI KENYA WATUMIA MABOMU YAMACHOZI KUWATAWANYA WANAFUNZI"

Chapisha Maoni