ZA UKWELI SANA

BABA YAO P SQUARE ALIFARIKI NOV,2O14,KAZIKWA JANA JANUARY 30.2015

Mzee moses okoye,babab mzazi wa wa mastaa wa muziki kutoka nigeria,peter na paul okoye wa kundi la psquare alifariki nov 25.2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.

Taarifa za wanafamilia zilisema,mzee huuyu alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana january 3o.2015 ndio mzee huyo amezikwa ikiwa ni miaka 2,imepita toka kufariki kwa mama yao.
 hizi ni picha za safari ya mwisho ya mzee moses okoye,baba wa mastaa psquare na jude engees okoye.


 source millard ayo.com

0 Response to "BABA YAO P SQUARE ALIFARIKI NOV,2O14,KAZIKWA JANA JANUARY 30.2015"

Chapisha Maoni