ZA UKWELI SANA

Wema Aangua Kilio

staa wa filamu nchini Wema Abraham Sepetu juzi alizua Kituko maeneo ya Masaki jijini Dar,baada ya kupewa taarifa ya kwamba mbwa wake aliyekuwa kapotea amepatikana,lakini alivyofika eneo husika alikuta ndivyo sivyo.
     

Staa wa filamu nchini Wema Sepetu. ""uwii jamani vani wangu sijui kama nitamuona tena sijui amekufa au yupo hai nitakukumbuka daima"staa huyo alidai mbwa huyo aitwae vani alikuwa ndio faraja yake haswa mara nyingi anapokuwa nyumbani. Alipoangua kilio watu waliokuwepo eneo hilo walishangaa sana nakujiuliza ni mbwa tu au ni kitu kingine,hata hivyo staa huyo ameahidi dau la shilingi milioni moja kwa atakae muona mbwa huyo Vani mbwa wa Wema Sepetu. CHANZO GLOBAL PUBLISHERS.

0 Response to "Wema Aangua Kilio"

Chapisha Maoni