ZA UKWELI SANA

Wasanii watoa misaada kwa majeruhi waajali Musoma.

Septemba 05 mwaka huu huko eneo la sababa nje kidogo mwa mji wa Musoma mabasi mawili yaligongana na kusababisha vifo takribani vya watu 35 na wasanii walio kuwa wakipiga show musoma waliguswa na kuamua kutembelea wagonjwa na kuchangia kidogo walichopata katika show,jumla kuu ya misaada yote ni Shilingi milion 3

0 Response to "Wasanii watoa misaada kwa majeruhi waajali Musoma."

Chapisha Maoni