ZA UKWELI SANA

picha za ajali ya basi la Air bus leo

picha hizi tumetumiwa na moja ya majeruhi walio nusurika kwenye ajali hiyo ya Bus aina ya Air Bus,ambapo alisema ajali hiyo imesababishwa na kukatika kwa kidude kilichopo kwenye usukani wa dereva,ambapo alisema alisikia tu kitu kikikatika na baadae kufuatiwa na kishindo kikali sana,basi hilo lilikuwa likitoka Morogoro kuelekea dodoma nakupata ajali maeneo ya Berega.

Watu wanne wanahofiwa kufa katika ajali hiyo na majeruhi kadhaa.

Huyu mama anayelia katika picha alikuwa na watoto wake mapacha hivyo hamuoni mmoja.

0 Response to "picha za ajali ya basi la Air bus leo"

Chapisha Maoni