ZA UKWELI SANA

Ripoti mchezo wa Yanga VS Azam Fc hii hapa.

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Brazil Geilson Santos "jaja leo amewaonyesha wapenzi wa soka nchini nini kazi yake uwanjani baada ya kuisaidia Young Africans kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 huku yeye akikwamisha mabao mawili safi mchezo uliofanyika katika dimba la uwanja wa taifa jijini Daressalaam.
  Young Africans ambayo ilikua ikicheza mchezo wa Ngao ya jamii mbele ya mashabiki wake zaidi ya elfu thelathini walifurika kuwapa morali wachezaji,walitulia na kucheza soka tangu mwanzo wa mchezo mpaka mwisho.

0 Response to "Ripoti mchezo wa Yanga VS Azam Fc hii hapa."

Chapisha Maoni