ZA UKWELI SANA

Nmb wazindua Rasmi Kampeni Kabambe weka na Ushinde.

Nmb ikiwa ni benki ya chaguo la watanzania wengi,sasa basi taarifa njema ni kwamba (14sept)imezindua rasmi kampeni Kabambe weka na ushinde,ambayo itakushawishi wewe  mteja kuweka fedha benki ili uweze kujipatia ushindi ambao si wa Bajaji,Bodaboda,Baiskeli au fulana za Nmb tu bali pia faida kubwa ya riba na usalama wa pesa zao.
      Akizungumza na waandishi wa habari jijini Daresalam katika uzinduzi huo Meneja wa Amana za wateja katika benki hiyo Bw.Boma Raballa amesema kwamba kampeni hiyo itafanyika katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia sasa mpaka desemba 20,2014.

0 Response to "Nmb wazindua Rasmi Kampeni Kabambe weka na Ushinde."

Chapisha Maoni