ZA UKWELI SANA

PRoffesor Jay Kuzindua Mizigo yake.

Mwanamuziki wa Miondoko ya HipHop na Bongo fleva nchini Prof Jay amesema leo anatarajia kuzindua nyimbo zake kali mbili ambazio zimeanza kusika kwenye radio stations mbalimbali.
    Ambazo nyimbo hizo ni kipi sijasikia Aliyofanya na mkali Diamond platnumz,na Tatu chafu professor aliandika katika akaunti yake ya Instagram kwamba atazindua nyimbo hizo katika ukumbi wa Bizness lounge,au Ten lounge kwa sasa kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu 10.

0 Response to "PRoffesor Jay Kuzindua Mizigo yake."

Chapisha Maoni