ZA UKWELI SANA

MABIBI NA MABWANA HAWA NDO MASTAA WENGINE WA MAREKANI KUTUA BONGO.

Kumekuwa na mastaa wengi kila kukicha wa kidunia kutua bongo haswa mastaa wa kimarekani,Mara hii staa maarufu duniani Gabriele Union na mumewe mcheza kikapu wa Miami Hit Dawyaner wader wametua bongo na kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti,hii kwa kweli imezidi kulitangaza sana taifa la Tanzania na ikumbukwe tu Gabriela ana wafuasi milioni 2 na laki tatu kwenye akaunti yake ya instagram.

0 Response to "MABIBI NA MABWANA HAWA NDO MASTAA WENGINE WA MAREKANI KUTUA BONGO."

Chapisha Maoni