ZA UKWELI SANA

Moi asheherekea sikukuu ya kuzaliwa Kwake.

   Raisi wa zamani nchini Kenya Daniel Arap Moi,amesheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo kwa sasa Moi Septemba mbili mwaka huu ametimiza umri wa miaka 90,Moi ametumia siku yake ya kuzaliwa kuzungumza na Wakenya na kupinga watu wanaokusanya maoni ya cord nchini humo ili katiba ya nchi hiyo ibadilishwe ambapo mpaka sasa watu milioni 1.1 wamepiga kura.

lengo la muungano huo wa cord ni zifikie kura milioni 5 ili katiba ibadilishwe.

0 Response to "Moi asheherekea sikukuu ya kuzaliwa Kwake."

Chapisha Maoni