ZA UKWELI SANA

Jeshi la polisi Kahama limelazimika kufyatua Risasi za moto Kuwatawanya Wananchi Kuchoma Moto Watuhumiwa.

   Maafisa wa jeshi la polisi wilaya ya kahama wakiwa katika eneo la tukio kwa ajili ya kuchukua mwili wa marehemu.Inasemekana watuhumiwa hao walivamia nyumba ya Mkazi mmoja mtaa wa Muhangale Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia leo

0 Response to "Jeshi la polisi Kahama limelazimika kufyatua Risasi za moto Kuwatawanya Wananchi Kuchoma Moto Watuhumiwa."

Chapisha Maoni