ZA UKWELI SANA

IDD AZZAN,MAMA TUNU PINDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA "MATESO YANGU UGHAIBUNI".

  Mbunge wa jimbo la kinondoni,mheshimiwa Idd Azzan, na mke wa Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Tunu Pinda,ni miongoni mwa wageni watakao hudhuria uzinduzi rasmi wa filamu ya "mateso yangu ughaibuni"Unaotarajiwa kufanyika leo Katika viwanja vya Leaders Klabu vilivyopo Kinondoni jijini Dar.

   Filamu hiyo imerokodiwa na kutengenezwa na kampuni inayomilikiwa na Mtanzania iitwayo Didas Fashion yenye maskani yake nchini uingereza ambapo ndani yake kuna waigizaji Wastara Juma,Riyama Ally,Monalisa,na Issa Musa Cloud 112.

Mke wa waziri mkuu Mama Tunu pinda.Mbunge wa jimbo la kinondoni mheshimiwa Idd Azzani.

0 Response to "IDD AZZAN,MAMA TUNU PINDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA "MATESO YANGU UGHAIBUNI"."

Chapisha Maoni