ZA UKWELI SANA

Wawili wachomwa moto kwa tuhuma za uwizi huko tabata jijini Dar.

Vijana wawili wamechomwa moto katika eneo la tabata Liwiti wakituhumiwa kuiba pochi ya mwanamke katika eneo hilo,walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa ilitokea asubuhi ya jana(jumamosi)ambapo walikuwa watatu wakafukuzwa na watu mbalimbali,Alisema walipokamatwa walipigwa na kisha kuchomwa moto.
Alisema mara nyingi wanapokamatwa na kupelekwa kwenye vituo vya polisi hutoka na kuendelea na uhalifu,na mara nyingi hufanya uhalifu kwa kutumia pikipi.
   picha mbalimbali zikionyesha polisi wakichukua mabaki ya miili ya vijana hao na pikipiki iliyotumika kufanyia uhalifu.

0 Response to "Wawili wachomwa moto kwa tuhuma za uwizi huko tabata jijini Dar."

Chapisha Maoni