ZA UKWELI SANA

DUNIA INA MAMBO TAZAMA HAPA MTOTO MWENYE MIKONO MIKUBWA KULIKO KICHWA CHAKE.

   Mtoto wa miaka minne nchini India Kaleem(pichani) amechanganya madaktari kufuatia mikono yake kuvimba kupita kiasi na sasa imefikia kilo12.Mtoto huyo kwa sasa anashindwa kutekeleza japo majukumu madogo tu kama kufunga kamba(laces) za viatu vyake baada ya kuzaliwa akiwa na mikono mikubwa mno.

0 Response to "DUNIA INA MAMBO TAZAMA HAPA MTOTO MWENYE MIKONO MIKUBWA KULIKO KICHWA CHAKE."

Chapisha Maoni