ZA UKWELI SANA

Tanga Wapata Mshindi Serengeti Super Nyota.

  miaka ya nyuma mashindano haya yalikuwa yakihusisha wasichana na wavulna lakini kwa mwaka huu imekuwa tofauti kidogo kwani mashindano hayo yanajikita zaidi kwenye upande wa wasichana pekee yake.

kama ilivyo kwa Serengeti Dance la Fiesta,upande wa serengeti Super nyota Divaz mkoa wa Tanga mshindi aliyepatikana anaitwa Sabrina Khamisi,ambapo wasichana waliojitokeza kwa mkoa wa Tanga kwenye mashindano hayo walikuwa 10.
     picha kwa hisani ya Millard Ayo.com

0 Response to "Tanga Wapata Mshindi Serengeti Super Nyota."

Chapisha Maoni