ZA UKWELI SANA

Matukio mbalimbali mjini Moshi.

Askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyefahamila kwa jina la Anna sawani akichukua maelezo toka kwa dereva wa gari la shirika la umeme (Tanesco) baada ya kugonga dereva wa boda boda.

0 Response to "Matukio mbalimbali mjini Moshi."

Chapisha Maoni