Mara ngapi umejiuliza umuhimu wa hayo mawazo hasi yanayokusumbua,kama uwoga wa kufanya jambo,kukata tamaa na kuwa na imani ya kushindwa ...
Home » Uncategories » SALAMU ZA PONGEZI ZA MWAKA MPYA KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO.
SALAMU ZA PONGEZI ZA MWAKA MPYA KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO.
jicho la kitaa media tunatoa salamu za pongezi kwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR john joseph Magufuli,na kumtakia heri na baraka pamoja na afya njema kwa mwaka huu 2016 na aendelee kutumbua majipu ya rushwa na ufisadi kwa mustakabali na ustawi wa nchi yetu ya Tanzania.
0 Response to "SALAMU ZA PONGEZI ZA MWAKA MPYA KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO."
Chapisha Maoni