ZA UKWELI SANA

KINGUNGE NA HATMA YA CCM

Mwanasiasa mkongwe hapa nchini,na mmoja kati ya waanzilishi wa chama cha TANU,TAA na ccm,kingunge ngombare mwiru,jana ametamka rasmi mbele ya baraza la wanahabari hapa nchini,kwamba ameamua kukihama chama cha mapinduzi ccm,kwa sababu kinakiuka misingi na maadili waliyokuwa nayo tangu TANU na hatimaye sasa ccm,amesema kwamba chama hicho kimepoteza dira,matabaka kati ya masikini na matajiri yameongezeka sana na kwamba baya zaidi wanakiuka kile alichokiita ni ukiukwaji wa kidemokrasia 'mwalimu nyerere aliwahi kusema tuchague watu wanaokubalika ndani ya chama na nje ya chama pia,bila shaka lowasa hakutendewa haki kwani alikuwa anakubalika na wengi'alisema mzee kingunge,mzee kingunge aliendelea kubainisha kwamba sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba,mabadiliko yanahitajika sasa katika nchi na kusema yalihitajika mapema zaidi kuliko sasa lakini wakati nisasa,amesema yeye amejitoa ccm hakusudii kujiunga na upinzani lakini anamuunga mkono mheshimiwa Edward Lowasa,'namjua lowasa vizuri tu tangu zamani bila shaka anafaa kuleta mabadiliko na yeye ndiye mtu sahihi zaidi'alibainisha kingunge jana kwenye mkutano maalumu na wanahabari,je ninani mbabe hapo oktoba 25?bila shaka mpenzi msomaji ujipime na ujitathmini kama kweli unataka mabadiliko chagua Edward lowasa ndiye nahodha wetu sahihi na sio Magufuli hatuwezi kuuza ikulu kwa kipande cha ngisi,waanzilishi wa ccm wote wanakimbia mfumo wa chama umeoza na unanuka pia toroka uje ukawa.

0 Response to "KINGUNGE NA HATMA YA CCM"

Chapisha Maoni