ZA UKWELI SANA

HILI NDIO DUME LILILO BADILISHA JINSIA NCHINI MAREKANI

Huyu anaitwa catalyn jenner , yeye ni baba mzazi wa mwanamitindo kimkarkadashian na ni mkwe wa mwanamuziki kanye west wa nchini marekani kwa muda mrefu alikuwa na ndoto za kubadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke,na kwa sasa amefanikiwa ndoto zake na amekuwa kama anavyoonekana pichani,na amesema anajisikia furaha sana kuwa mwanamke kwani ni ndoto yake ya muda mrefu sana,lakini hivi majuzi amenukuliwa akisema yupo njia panda kwani anatamani kuwa na wanaume kimapenzi na pia anawatamani wanawake bado.

0 Response to "HILI NDIO DUME LILILO BADILISHA JINSIA NCHINI MAREKANI"

Chapisha Maoni