ZA UKWELI SANA

HEMEDI PHD IN HIS QUALITY

Mwanamuziki hemedi phd,amesema yeye hayupo tayari kutoka kwenda nje ya nchi kufanya video kama wanamuziki wengine,amesema atafanya video zake na madirector wa hapa hapa nyumbani,'unajua hapa nyumbani bado yapo maeneo mengi sana na mazuri ya kufanyia video mimi nitakachokifanya labda nikuwaleta madirector wa nje kufanya video zangu hapa nyumbani'alisema hemedi phd mwanamuziki anayetamba kufanya video kali na madirector wa hapa nyumbani,hivi sasa phd anatamba na wimbo wake mpya wa imebaki story,pia anasema ataachia kichupa chake kipya hivi karibuni kwani huu ni msimu wake wa kutoa ngoma baada ya ngoma,baada ya kupata menejimenti mpya.

0 Response to "HEMEDI PHD IN HIS QUALITY"

Chapisha Maoni