ZA UKWELI SANA

UBWABWA NA MANDONDO KITAANI.

Hii hutokea uswahilini tu tena katika shughuli za misiba na maulidi,hata katika baadhi ya kaya wakipika hivi huwa ni siku kuu,au kuna tukio fulani na mara nyingine ukibaki uporo asubuhi hupata na chai ya rangi na hali huwa kama hivi.
       
        
          TUNAKARIBISHA MATANGAZO KWA BEI NAFUU PIGA 0656538476

0 Response to "UBWABWA NA MANDONDO KITAANI."

Chapisha Maoni