ZA UKWELI SANA

MUIGIZAJI AFARIKI KATIKA AJALI MBAYA KENYA.

Muigizaji wa tamthiliya,nchini kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru, jumanne hii alipoteza maisha yake kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori.polisi na mashuhuda walidai muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari lake aina ya BMWna ndipo alipovaana na lori lililokuwa mbele yake.
NANA GICHURU ENZI ZA UHAI WAKE.

Msichana huyo aliwahi kufanya kazi Kenya Airways,pia alikuwa blogger,muigizaji wa tamthiliya ya Maisha Magic ''How to find A husband''

     
source CAPITAL FM.

0 Response to "MUIGIZAJI AFARIKI KATIKA AJALI MBAYA KENYA."

Chapisha Maoni