ZA UKWELI SANA

MAJIBU YA AUNT EZEKIEL KUHUSU KUWA NA UJAUZITO WA DANCER WA DIAMOND NA NDOA YAKE.

Mengi yamezungumzwa kwenye mitandao na kuchukua headlines kuhusu ujauzito wa muigizaji wa filamu aunt ezekiel,sasa jana feb 2 kupitia amplifaya ya clouds fm,aunt ezekiel amefunguka na kujibu baadhi ya maswali

millard ayo;vipi kuhusu ndoa yako kwa sababu uliolewa na mtanzania aishie dubai


Aunt Ezekiel;ndoa yangu bado ipo na itaendelea kuwepo,na still mume wangu bado yupo.


Millard Ayo;kulikuwa na taarifa kuwa amefungwa gerezani.


Aunt Ezekiel;sipendi sana kuizungumzia hiyo kwa sababu ni maisha yangu binafsi na haihusiani na kazi ya sanaa yangu.


Millard Ayo;kuna taarifa kuwa una ujauzito wa mose iyobo,dancer wa diamond we unaizungumziaje hiyo.


Aunt Ezekiel;hata mimi nashangaa nasikia kwenye mitandao na kuona magazetini tu.

0 Response to "MAJIBU YA AUNT EZEKIEL KUHUSU KUWA NA UJAUZITO WA DANCER WA DIAMOND NA NDOA YAKE."

Chapisha Maoni