ZA UKWELI SANA

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU BARABARA WILAYANI MUHEZA ZAANZA KUKARABATIWA.,

Tukiwa tumebakiza miezi michache kuelekea uchaguzi,mkuu blog yako ya kijanja ilitembelea mkoani Tanga wilayani muheza katika kata ya Genge,na kukutana na ukarabati mzito wa barabara ambazo dizain kama zilisahaulika hivi kwa muda mrefu sana.

0 Response to "KUELEKEA UCHAGUZI MKUU BARABARA WILAYANI MUHEZA ZAANZA KUKARABATIWA.,"

Chapisha Maoni