ZA UKWELI SANA

KIJANA WA MIAKA 17,APUNGUZWA UUME.

mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume,kijana huyu wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hawezi kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala linalomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.

kabla ya kufanyiwa upasuaji huo,uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.Daktari wa upasuaji wa surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalowaacha vinywa vya ajabu[suala hilo ni je,unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo]

kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo,uume wao hauwi mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.

Daktari huyo alisema kwamba wengi hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho wala si kukipunguza,kijana huyo alifanyiwa matibabu na kumaliza matatizo yake.

0 Response to "KIJANA WA MIAKA 17,APUNGUZWA UUME."

Chapisha Maoni