ZA UKWELI SANA

KIJANA JANA AMKA NA UJITAMBUE.

Mpenzi msomaji wa blogu ya jicho la kitaa,bila shaka utakuwa si mgeni wa kusikia tatizo la ajira kwa vijana waliopata,elimu ya juu,hata waliokosa,lakini cha kushangaza kijana analalamikia ajira mkononi ana ipad,simu ya thamani n.k lakini wamesahau unaweza kujiajiri kilimo cha bustani kama miche ya miti,mboga mboga nyanya na matunda na ukabadilisha kabisa maisha yako amka kijana think big acha kubweteka umri unasonga haukusubiri,utashangaa wenzako walioshia darasa la saba tu,au hata hakumaliza elimu ya msingi wanakupiga bao amka sasa na ujitambue.
ACHA UBISHOO KAMATA MKWANJA.

0 Response to "KIJANA JANA AMKA NA UJITAMBUE."

Chapisha Maoni