ZA UKWELI SANA

JE UNAMKUMBUKA HUYU JAMAA.

Amekuja kivingine,mara hii ameachana na za kigumu,na kurap laini amemshirikisha ommy Dimpoz,amesema ameongeza mashabiki wengi wa kike pia kwa jiwe lake hilo jipya kama bado hujalisikia litafute kwa media.

0 Response to "JE UNAMKUMBUKA HUYU JAMAA."

Chapisha Maoni