ZA UKWELI SANA

CHEKI HUU UCHAWI WA DIAMOND

Katika jambo linaloaminika kuwa ni imani za kishirikina,hirizi yenye picha ya diamond,na makaratasi yaliyoandikwa kwa wino mwekundu na lugha ya kiarabu,yamekutwa nje ya  nyumba mwanadada wema sepetu,na kuwajaza mshangao wapita njia waliokuwa wakipita nje kwa wema.

0 Response to "CHEKI HUU UCHAWI WA DIAMOND"

Chapisha Maoni